YANGA imeamua kufanya kweli ambapo leo imemshusha Yikpe Gnamien ambaye ni mshambuliaji raia wa Ivory Coast jijini Dar es Salaam ili kumalizana naye huku ikiwa imemalizana na beki kisiki Andrew Vincent 'Dante'.
Nyota huyo alikuwa akikipiga Gormahia na amevunja mkataba na timu hiyo ili amalizane na mabosi wa Yanga atatangazwa muda wowote kuanzia sasa kuitumikia timu hiyo.
Endapo dili lake litatimia atakuwa mchezaji wa pili leo kumalizana na Yanga ambayo imemalizana na Dante na yupo mazoezini na timu inayojiandaa kucheza kesho na Iringa United mchezo wa kombe la Shirikisho uwanja wa Uhuru.

0 COMMENTS:
Post a Comment