SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) leo limetembelea viwanja vya mazoezi vya Simba vilivyopo Bunju, nje kidogo ya Dar es Salaam na kutoa neno la pongezi kwa Simba kwa hatua ambayo wamefikia.
Viwanja hivyo vya Simba vimepewa jina la Mo Simba Arena kimoja ni cha nyasi bandia na kingine ni cha nyasi asilia maalumu kwa ajili ya mazoezi.
Mkurugenzi wa Ufundi ndani ya TFF, Oscar Mirambo amesema kuwa“Niwapongeze Simba kwa hatua ambayo wamepiga kwa kuwa na viwanja ambavyo tumekuwa na uhaba navyo. Hii inamaana kwamba kama nchi sasa tunapiga hatua,",
Tunangojea vilevile pongezi Kutoka kwa watani
ReplyDeleteSisi tutaenda kumpongeza mo nyumbani kwake maana ndie mwenye uwanja
ReplyDeleteHalafu wanasahau kuwa hela ya uwanja ilitolewa na shabiki wa Yanga (Kikwete) baada ya kuombwa na aliyekuwa mwenyekiti wao Aden rage.
DeleteHata nyie mmesahau kua uwanja wa kigamboni mmepewa shabiki kindakindaki wa simba Baba Kegan
DeleteNdiomaana kupiga kwenu hatua kutabaki kuwa ndoto kwasababu ya chuki mlizonanzo. #Mo Simba Arena
ReplyDeleteKwa mantiki hiyo jengo la Yanga ni la familia ya Karume kwa sababu Karume alitoa fedha yote ya kujenga?Ujinga na husda ni maradhi mabaya.Lile bwawa la Kaunda nalo ni la Raisi wa zamani wa Zambia?Mbona kuna jina lake?
ReplyDeleteKama lilivyo jengo la Simba maana nalo Mzee Karume alitoa hela baada ya Simba kunung'unika kwa nini amewasaidia hela Yanga kujenga jengo lao.
DeleteMbona Simba hatusajili jaman? Au lengo menu mtuuwe hiyo trh; 4
ReplyDelete