December 18, 2019


MSHAMBULIAJI Seleman Ndikumana, aliyekuwa anakipiga Azam FC ameomba kuachana na timu hiyo inayotetea ubingwa wa kombe la Shirikisho.

Ndikumana alijiunga na Azam FC mwezi Juni ameamua kufikia hatua hiyo baada ya kushindwa kuhimili mikikimikiki ndani ya Azam FC.

Uongozi wa Azam FC umethibitisha kuachana naye na kumtakia kila la kheri kwenye changamoto mpya za kuendeleza kipaji chake.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic