OMMY DIMPOZ AAHIDI MACHUNGU YANGA Msanii wa Bongo Fleva Ommy Dimpoz amesema kuwa wanawasubiri kwa hamu watani wao wa jadi Yanga Jan 4 , 2020 ambapo watakutana katika Ligi Kuu Tanzania Bara.
0 COMMENTS:
Post a Comment