Uongozi wa klabu ya Yanga umefunguka mambo kadhaa kupitia kwa Mwenyekiti wake, Mshindo Msolla katika mazishi ya aliyekuwa Katibu wa Baraza la Wazee wa klabu hiyo, Mzee Ibrahim Akilimali.
Matamsho tumeshachoka nayo na sasa twataka vitendo. Akilimali aliyeishi kuitumikia Yanga kwa upendo wake wote hatunaye tena ikiwa katendewa wema na hakuwa akibezwa basi hayo ndiyo yatayoirehemu Yanga

ReplyDelete