KIKOSI cha Simba Queens leo kitamenyana na timu ya Kigoma Sisters kwenye mchezo wa Ligi ya Wanawake Tanzania utakaochezwa uwanja wa Mo Simba Arena.
Mchezo huu utakuwa ni wa pili kwa Simba Queens kutumia uwanja huo ambao unatumika kwa ajili ya mazoezi kwa timu ya Wanaume.
Hakutakuwa na kiingilio kwenye mchezo wa leo unaotarajiwa kuchezwa majira ya saa 10:00 Jioni.
0 COMMENTS:
Post a Comment