December 30, 2019


UONGOZI wa Yanga kwa kushirikiana na mabosi wa GSM, umekamilisha dili la mshambuliaji Ykipe Gnamien kwa kumpa dili la miaka miwili.

Habari zinaeleza kuwa licha ya danadana za awali kwa mshambuliaji huyo raia wa Ivory Coas aliyevunja mkataba na Gormahia mwenye mwili jumba kwa sasa kila kitu kimekwenda sawa na Yanga.

"Tayari ameshapewa kibali na Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) na yupo kwenye hesabu za kuivaa Simba, Januari,42020," ilieleza taarifa hiyo kutoka ndani.

3 COMMENTS:

  1. Ili waifaidi hela Yao Yanga itamtumia mchezaji huyo na wengine wapya hata ikiwa hawajafanya mazoezi ya pamoja hata siku moja ili ati wamfunge mnyama

    ReplyDelete
  2. Acha woga, wenye timu yao wametulia

    ReplyDelete
  3. kocha atakuwa hana elimu kama atawatumiawachezaji ambao hawana muunganiko mzuri na wenzao.
    kwa siku mbili hawataweza kuwa na mfumo mzuri na wenyeji katika timu. labda kama mkwasa anataka kujiharibia sifa ya leseni yake. mziki walioonesha leo simba ni salamu tu kuwa kikosi chote kina utimamu wa kuidharirisha yanga siku ya jmos.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic