KOCHA Mkuu wa Singida United, Ramadhani Nsanzurwimo raia wa Burundi amepanga kuongeza idadi ya wachezaji watano ndani ya kikosi hicho wakati huu wa dirisha dogo.
Mrundi
huyo amejiunga na Singida United mwanzoni mwa msimu huu akichukua nafasi
ya Fred Minziro aliyejiunga na Pamba FC.
“Tayari
mwalimu amependekeza wachezaji watano ili kufidia wale ambao
wameendoka kuhakikisha timu inakuwa imara kwenye ligi," kilieleza chazo hicho.
Nswanzurimo amesema kuwa kikubwa anachohitaji ni kuona anakuwa na timu imara itakayokuwa tofauti kuliko nyingine.
Nswanzurimo amesema kuwa kikubwa anachohitaji ni kuona anakuwa na timu imara itakayokuwa tofauti kuliko nyingine.
0 COMMENTS:
Post a Comment