December 13, 2019





CV YA SVEN VANDENBROECK WA SIMBA
1. MAFANIKIO

2017 – Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON)- Gabon akiwa na timu ya
Taifa ya Cameroon. Kushirikia michuano ya Shirikisho Urusi.

2014/15- Aliipeleka Daraja la Kwanza 0H Leuven (Pro- League).

2013/14- Aliifundisha Fostiras na kuweka rekodi ya kutofungwa katika mechi 13 akishinda 10 na kutoa sare tatu. Aliruhusu bao moja pekee katika raundi ya pili akiwa na timu hiyo wachezaji wake wakiwa na umri wa miaka 21, walicheza mechi playoff ilikupanda, lakini bajeti ya ligi ilikuwa ndogo.


2. ELIMU
2014- Alipata leseni ya juu kabisa ya Uefa (Pro Licence), Brussels- Ubelgiji.
2012- Alipata leseni A ya Uefa, Brussels- Ubelgiji.
2003- Alipata leseni B ya Uefa, Uholanzi.


3. KOZI ZA ZIADA
2011- RSC Anderlecht- Modern Football siku moja.
2012- Manchester City- Mancini (Italia) siku nne.
2014 -Olympiacos- Michael (Hispania) siku nne.
2016-University Leuven- Thinking correctly under pressure siku moja.
2016-Belgian Federation- Analyse WC14en EC16 siku moja.
2018- University Leuven- Technology in Football siku moja.
Kozi nyingine ni pamoja na Saikolojia, GPS, Hart raye registarationa, uchambuzi wa video pamoja na PPT & Office.


4. ALIPOFANYA KAZI
Levo klabu nchi nafasi kuanza kumaliza
Timu ya taifa Zambia Zambia kocha mkuu 01/7/2018 31/3/2019
Timu ya taifa Cameroon Cameroon msaidizi 01/1/2016 28/2/2018
Levo ya juu OH Leuven Ubelgiji msaidizi 01/1/2015
30/11/ 2015
Levo ya juu Niki Volos Ugiriki kocha wa muda 15/9/2014 31/
10 2014
Levo ya juu Niki Volos Ugiriki msaidizi 01/7/2014
14/9/ 2014
Levo ya kati Fostiras Ugiriki kocha mkuu 12/3 2014 30/6 2014
Levo ya kati Fostiras Ugiriki msaidizi 01/7/ 2013 11/3/2014
Levo ya juu KV Mechelen Ubelgiji kocha mkuu U-20 01/7/2011 30/6/2013


5. MAKOCHA WA NGAZI YA JUU ALIOFANYA NAO KAZI
Broos Hugo ( Cameroon, Club Brugge, RSC Anderlecht na KRC Genk)
Vercauteren Frank – RSC Anderlechnt, KRC Genk, Timu ya taifa ya Ubelgiji, Al Jazira na Samara.
Vergoosen Sef – Rod JC, KRC Genk, Nagoya Grampus Japan na PSV Eindhoven.
Leekens G – Club Brugge, Anderlechnt, timu ya Taifa ya Ubelgiji naTunisia.
Mathijssen Jacky – Club Brugge na Charleroi
Koster Adrie – Ajax, PSV, timu ya Taifa ya Saudi Arabia na Club Africain.


6. WACHEZAJI WAKUBWA ALIOWASAIDIA
Wachezaji ambao aliwasaidia kipindi anafundisha na walifanikiwa ni pamoja
na; Jordy Vanlerberghe (timu ya vijana ya KV Mechelen na Club Brugge),
Xristos Tasoulis (Fostiras kwenda Lens Frankrijk L1), Vincent Aboubakar (toka Valenciennes kwenda FC Porto) Nicolas Kargas (toka Fostiras kwenda Olympiakos. Wengine Frank Boya, Patson Daka, Enock Mwepu.

5 COMMENTS:

  1. sijaona lolote hapo,ila tuwaachie benchi na bodi ya simba,ninachoamin uongozi una jicho zaidi yetu,tuwatie moyo tusubiri muda utakapo fika tutamuona.

    ReplyDelete
  2. CV ya kozi za siku moja moja!!! acheni masikhara kwenye kazi za watu,nadhani ingestahili kuandikwa mazungumzo kuhusu kitu fulani.....siku moja

    ReplyDelete
  3. Anaekwenda na aliekaa hata kwa hatua za taratibu ni vitu viwili tofauti. Huyu kocha ana miaka 40. Kuna wachezaji kadhaa wana miaka 37 yaani kwa kifupi miaka 40 ni umri wa kustaafu soka kwa wachezaji wengi kwa maana ya kwamba kocha ni kijana sasa mkihangaika kutafuta cv za kocha huyu kufundisha mpira miaka ishirini 20 ndipo pale unapojua watanzania tunashida. Si ajabu waafrica wengi wa mataifa mbali mbali walimuelewa Magufuli mwezi mmoja baada ya kuapishwa kuwa raisi wakitushangaa watanzania tukihangaika tukitafuta maridhiano nae hadi leo? Kwa lipi baya? Ukitaka CV nenda katafute CV za Guadiola wakati anaanza kufundisha Barcelona na maajabu aliokuja kufanya katika kazi yake. Watanzania tuwache upumbavu wacha tuje kuhoji matokeo .

    ReplyDelete
    Replies
    1. Guardiola si wa kufananishwa na huyu!!!tofautisha mapito ya Guardiola na huyu

      Delete
    2. Huyu kafanyiwa usaili na makocha weledi hapa Tanzania akapitishwa lkn watanzania wanamdharau. Watanzania tuheshimu taaluma za watu

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic