December 30, 2019


Licha ya uongozi wa Yanga kuweka wazi kuwa imeshamalizana na kiungo aliyekuwa akikipiga AS Kigali ya Rwanda, Haruna Niyonzima, hadi sasa nyota huyo hajajiunga na klabu hiyo.

Taarifa kutoka ndani ya Yanga zimekuwa sikisema kuwa Niyonzima atajiunga na Yanga muda wowote na kuna uwezekanao akahusika katika mchezo dhidi ya Simba Januari 4.

Licha ya uwepo wa taarifa hizo, hadi sasa nyota huyo hajaonekana ndani ya kambi ya timu hiyo na kikosi kimekuwa kinaendelea na amzoezi.

Wakati huo mabosi wa Yanga wao wamewataka wanachama na wapenzi wa Yanga kuwa watulivu na wasubiri utambulisho wa wachezaji hao, ikionesha pengine inaweza kuwa kama 'sapraizi'.

2 COMMENTS:

  1. akili zenu zinawatosha wenyewe, hata asipokuwepo ninyonzima wala nchimbi. mkwasa andaa wachezaji haohao wanatosha kucheza dhidi ya simba. simba ni timu ya kawaida sana, tatizo mnashindwa kuwaandaa wachezaji mlionao na kuwasihi wache rafu za kijinga, huyo mapinduzi mkimchekea nakula umeme halftime tu

    ReplyDelete
  2. Kweli Simba ya kawaida? Basi mutaiona hiyo siku ya siku

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic