HUU hapa Ujumbe wa Mwandishi na mchambuzi wa masuala ya michezo Bongo, Saleh Jembe kwenda kwa Yanga:-
KWENU UONGOZI WA YANGA
Kamati ya mashindano kazi yake ni kuratibu ili timu ishiriki mashindano kwa uhakika. Lakini kinadharia na uhalisia, kamati haina uwezo wa kuhakikisha ushindi timu inapokuwa uwanjani otherwise kuna kitu kingine NJE YA MPIRA.
USHAURI..
Yanga iachane na matangazo ya namna hii yaliyopitwa na wakati, KUMBUKENI tupo 2020, mbali kidogo na zamani.
Uhakika wa ushindi ni wachezaji kujituma, kutumia maarifa na vipawa Mungu alivyowapa.
Kocha kufanya kazi yake kwa UFASAHA na kutengeneza mfumo bora na sahihi kuunganisha kikosi.
Yanga kama wote ni wadau wa mpira, achaneni na madudu ya namna hii. Waiteni mashabiki waiunge mkono timu yao halafu IKISHINDA mfululizo, wala hamtasumbuka kuandika mambo kama haya.
Nawasilisha.

Ni kweli. Na nyinyi mkijiingiza kwenye kununua mechi mpira wa Tz kwishinei. Kuwadanganya wanachama kwa timu kushinda kijanja kijanja ni uzandiki!! Acheni hiyo habari. HII NI KWA MANUFAA YA TANZANIA IJAYO YA AKINA SAMATTA kucheza EPL.
ReplyDeleteEnter your comment...ahahhaaa Saleh jembeeee,mbn huandiki kitendo cha Wawa kumkanyaga Nchimbi,umeona matangazo ya Yanga tu doooooh jan tumeona new offside kny soka af husemi umekaa kmy jembe jembe gan hili linachagua pa kulima????
ReplyDeleteKwa hiyo wewe umekuwa msemaji wa tff au tawi la tff yako yanakushinda unaingilia mambo yasiyo kuhusu fanya kazi yako kwa ufasaha wasomi wa magazeti yako wakupende acha propaganda na kuingilia mambo yasiyokuhusu (Ushauri)
ReplyDeleteIkicheza simba unaandika mpira mpaka unaixha utasikia dkka ya kumi mara 37 lkn kwa yanga huandik ww naww muandixhi kipenz watimu fulani
ReplyDelete