January 21, 2020

10 COMMENTS:

  1. Enter your comment...wew Manara ndo white Maria,kwann mtu asiseme kilichomkuta kwann unaongea pumba hiyo,km kweli we n mtetezi wa wanyonge mbona hujaongea Wawa alipomkanyaga kwa makusudi Ditram Nchimbi take care bro,wewe co icon ya Tz

    ReplyDelete
  2. Hizi blog ndio zinamkuza sana manara mtu anaongea uchochezi kama huo harafu unapost wa nn,.huyu jamaa ni mtu hatari sana

    ReplyDelete
    Replies
    1. kaongea fact sana Manara ,uyo mzungu mjinga flani ivi anataka kutuletea shombo apa nchini , yy anamfokea muamuzi alafu eti apeleke mkono wake wa kejeli kijinga vile ......afundishe mpira asilete uzaramo wake apa ..tena mwambieni mpira sio taarabu

      Delete
  3. Awe mvulivu maana hata wachezaji hawajaingia kwenye mfumo wake ,pia mambo yaubaguz hakuna KBC Tz sio was kwanz kufndsha hatjawah ckia kama anacho sema yye

    ReplyDelete
  4. Ya mamako we Hajj Manara

    ReplyDelete
  5. Hakuna mtu anayelalamika kwa upande wa simba kama manara wala huna ushauri kwa bodi ya ligi au tff Kwan huna cha kuisaidia yanga ni vyema ukajikita zaidi na timu yako ndo unapofanyia kaz

    ReplyDelete
  6. Manara anatatizo ya psychology, si kawaida ya binadamu kila kukicha anaangalia Yanga wanafanya nn? Sio bure huyu jamaa atakua na tatizo jingine sio suala la ushabiki peke yake.
    Naamini hata baadhi ya mashabiki wa Simba wanamshangaa

    ReplyDelete
  7. Yanga walimchangia ktk matibabu alipo pata matatizo ya macho, lkn kwake yeye haoni hilo Kama Ni upendo.
    Kila siku anaangalia Yanga wafanyaje na kuwadhihaki, wakati hausiki kwa chochote.
    Hatukatai Utani wa Simba na Yanga lkn wewe kila siku uko Bias.

    ReplyDelete
  8. Duuh ubaguzi?huyu jamaa mbona Kama alikurupuka kutoa lawama ka hizi!! Tanzania hajawahi baguliwa mtu

    ReplyDelete
  9. Hawa makocha inabidi wafanyiwe kwanza vipimo vya afya ya akili kabla ya kupewa mikataba. Huyu anaonekana hayupo sawa kichwani. Suala la kubaguliwa eti kwa kuwa ni mzungu linatoka wapi? Ovyo kabisa.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic