Haya mazingira ya mitifuano na mfarakano si dalili nzuri kuelekea mechi ya Jumamosi...mashabiki wa Yanga wanavurugu kwa hiyo Nawaonea huruma Viongozi wa Yanga haya mambo yasije yakasababisha kutokea vurugu kubwa pindi timu itakapofungwa ....amani isije kutoweka si Jangwani tu bali nchi nzima....

ReplyDelete