KMC YATANGAZA NAFASI YA AJIRA KWA KOCHA MKUU UONGOZI wa KMC umetangaza nafasi ya kazi ya kumpata Kocha Mkuu wa kikosi hicho ambacho kwa sasa kipo chini ya Kaimu Kocha, Ahmed Ally.
0 COMMENTS:
Post a Comment