YANGA bhana! Kama mlivyosikia kwani imeshindwa kutamba kwa mara nyingine mbele ya Azam FC baada ya kupokea kipigo cha bao 1-0 kwenye mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar, jana huku mvua iliyonyesha ikitibua baadhi ya mipango ya kocha.
Masikini alitaraji mengi mazuri Sana na yeye kuitendea mengi akiwa na Yanga lakini inavoonesha sasa ndoto hizo zimetoweka na nini sasa Yanga inachokitaraji Kutoka Kwake, kocha ambae kasajiliwa kwa mbwembe zisizo na mfano

ReplyDelete