January 9, 2020


LUC Eymael anayetajwa kuwa kwenye rada za Yanga, ana uzoefu na soka la Afrika kutokana na kufundisha timu nyingi za Afrika kwa muda mrefu.

Mbelgiji huyo ana umri wa miaka 60 ana mchango Mkubwa ndani ya Taifa lake la Ubelgiji kutokana na kuhusika kukuza Soka la ndani pamoja na kuibua vipaji.



1983 alitoka Ubelgiji na kujiunga na timu ya Eerste Divisie ya Netherlands kwa kandarasi ya miaka miwili.


Mwaka 2010 alisepa Ubelgiji na kujiunga na AS Vita ya Congo na kuwa timu ya kwanza ndani ya bara la Afrika alipodumu mpaka 2011 pia aliifundisha A.F.C Leopards.

Kwenye jumla ya mechi 729 alizocheza hajafunga hata bao moja kutokana na nafasi yake kutompa nafasi kubwa ya kufunga kwani alikuwa ni mlinda mlango.

13 COMMENTS:

  1. Huyu naye kiazi kweli taarifa gani hii sasa et hajafunga bao mie nikajua ni mshambuliaje kumbe kipa!!!kwendraaa

    ReplyDelete
  2. Daaaah waandishi badilikeni basi

    ReplyDelete
  3. Sijaona uandishi wa ovyo kama huu. Bure kabisa!

    ReplyDelete
  4. Labda angeandika hajafungwa bao hata moja sawasawa, sasa hajafunga ila inawezekana hata penati hakuwahi pewa ili apige.

    ReplyDelete
  5. Ze Comedy blog!!!!

    ReplyDelete
  6. Jamni kwani hamjawahi kuona kipa anafunga

    ReplyDelete
  7. Vyura wanahangauka haoooo mara ychebe mara mkwasa sasa anaonyeshwa picha tu za kocha tupo kwao hana havari kandambili tunawasubiri fainali labda mkimbie tu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Uandishi wako unaonesha utakuwa ni product ya shule za kata

      Delete
  8. Hakuna kitu hapo kwemye huyo kocha.Vizuri Yanga kujifanananisha na Simba ila wahangaike na masuala ya uwanja kwanza.Mishahara ya wachezaji kwa wakati,Deni la Zahera nakadhalika.

    ReplyDelete
  9. Jamaa ameandika pupu kabisa

    ReplyDelete
  10. Kaka Saleh Alli hivi hii blog umeiuza au bado unaimiliki, ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ sijui kama na wewe unapata muda wa kupitia anachoandika uliemwachia majukumu ya kutafuta habari๐Ÿ™Œ

    ReplyDelete
  11. Kocha bora kwa Yanga ni huyu Mkwasa aliyefanikiwa kuwapa furaha mashabiki na viongozi wakasherehekea kucha kwa kupata Droo Katika mchezo wao na mnyama

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic