Kikosi cha Simba Queens leo kitashuka uwanjani kuwakabili Mlandizi Queens kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake ambao utachezwa Uwanja wa Mabatini uliopo Mlandizi, Pwani kuanzia saa 10 jioni.
Simba Queens ipo nafasi ya pili kwenye msimamo imecheza jumla y mechi sita na ina pointi 14, Mlandizi ipo nafasi ya sita ikiwa na pointi tisa.
Tunaomba matokeo ya ligi kuu ya wanawake tz.
ReplyDelete