January 22, 2020


Kamati ya Uendeshaji na usimamizi wa Ligi Kuu ya Tanzania (Kamati ya Saa 72) imetoa onyo kali kwa Kocha wa Yanga Luc Eymael kwa kufanya vitendo na kutoa matamshi yasiyofaa kuhusu ubaguzi wa rangi.

Vitendo hivyo alivionyesha na kuvifanya katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Azam FC uliochezwa Januari 18 katika uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam.

Yanga ilipoteza mchezo huo kwa kufungwa bao 1-0 ambalo lilikuwa la kujifunga kwa beki wa Yanga, Ally Mtoni katika harakati za kuokoa hatari langoni.

Aidha kamati imeutaka uongozi wa Yanga kukemea na kulitolea tamko kuhusiana na kauli hizo za ubaguzi wa rangi

4 COMMENTS:

  1. JAMANI KWENYE SUALA LA UBAGUZI WA RANGI HATA MM SILIPENDI ILA IWE KWA KIRA MTU MAANA KUNA MSEMAJI ALISHAGA ONGEA KUWA MWINYI ZAHERA SIO MTANZANIA ATUACHIE LIGI YETU SASA HAPO SIYO UBAGUZI TUKEMEE KWA TIMU ZOTE SIO KILA SIKU NI YANGA YA KUKALIWA KAMATI YA MAADILI

    ReplyDelete
  2. Hawa tff mabwege nini,wamfungie km wanataka,itakua sio wa kwanza ligi hii,mlifungia Zahera kwa kuvaa pensi,sasa huyu mzungu,nyinyi Mnaiandama yanga tu,washenzi wakubwa..mbona hamtoi hukumu kwa kitendo alichofanya wawa,kuhusu ubaguzi ndio mnao alichofanya kocha wa yanga ni sahihi

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic