ANTONIO Nugaz, Ofisa Uhamasishaji wa Yanga amesema leo timu yao itapambana kupata matokeo chanya mbele ya Singida United.
Yanga iliyo chini ya Mbelgiji, Luc Eymael ilipoteza mechi mbili mfululizo kwa kuchapwa mabao 3-0 na Kagera Sugar kisha ikapoteza kwa kufungwa bao 1-0 na Azam FC, leo itamenyana na Singida United, Uwanja wa Namfua.
"Hatujawa na mwendo mzuri hivi karibuni ni jambo la kusikitisha ila haina maana tunapaswa tukate tamaa, tutapambana mbele ya Singida United kurejesha furaha iliyopotea," amesema.
Yanga ipo nafasi ya nane kwenye msimamo ikiwa imejikusanyia jumla ya pointi 25 kibindoni baada ya kucheza mechi 14.
Mkisindwa leo na timu inayokamata mkia basi wengi tutaungana na Steve Nyerere
ReplyDeleteMfuateni huyo Steve Nyerere wewe si benders fuata upepo, unakuwa kama mo Simba ikifungwa Tu anatangaza kujiuzuru
DeleteSteve Nyerere kafanya nn!!!
ReplyDeleteYeye mwenyewe anakuambia hawezi kuhama yanga maisha yake yote. Yeye ni yanga damu
Young Africa itakaa vizuri siku si nyingi tuwe na subira maana wachezaji wanahitaji kuzoeana na kuzoea mfumo wa Coach mpya na tunahitaji msaada wa Mkwasa kumsaidia coach maana alishaanza kurekebisha tim na asivunjike moyo sababu wanaomsema mkwasa hawaitakii mema Young Afica au hawajui mpira .
ReplyDeleteHabari kubwa ni samatta na Simba kwa sasa
ReplyDeletechonde chonde yanga msiwafunge singida waurumien kama mlivyiwahurumia kagera na azam wapen na singida na wao msiwe wabaguzi
ReplyDeleteKilchopotea ndio kimeshapotea na kikipatikana ndio kimeshaota kutu
ReplyDelete