January 11, 2020

KIKOSI cha Azam FC,leo kilienda nyumbani kwa nahodha wa timu hiyo, Agrey Moris kumfariji baada ya kupata msiba wa kufiwa na mke wake Asteria.

Maziko ya mke wa Moris, yanatarajia kufanyika Jumatatu, Januari 13,2020 saa 8 mchana kwenye makaburi ya Mwanagati, yaliyopo Kitunda.


Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na uongozi wa Azam FC, Mke wa Moris alifariki jana jioni akiwa kwenye harakati za kujifungua.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic