January 9, 2020




Mtibwa Sugar inasonga mbele hatua ya fainali ikimsubiri mshindi kati ya Azam FC ambao ni mabingwa watetezi kwa watakaocheza na Simba.

Yanga imepoteza kwa kufungwa penalti 4-2 baada ya kufungana bao 1-1 kwenye mchezo wa nusu fainali iliyochezwa uwanja wa Amaan.

Penalti ya tano inapigwa na Kibwana Shomary langoni amekaa Kabwili anazamisha nyavuni.
Penalti ya nne kwa Yanga inapigwa na Abdulaziz Makame anapaisha
Penalti ya nne kwa Mtibwa Jaffary Kibaya anarudi nyuma kidogo anazamisha kwenye nyavu
Penalti ya tatu kwa Yanga inapigwa na Mapinduzi langoni yupo Nduda anarudi hatua kadhaa anazamisha ndani
Penalti ya tatu kwa Mtibwa Sugar inapigwa na Dickson Job anamhesabia hatua kadhaa anaachia shuti linazama nyavuni
Penalti ya pili kwa Yanga inapigwa na Paul Godfrey anahesabu hatua anazamisha ndani
Penalti ya pili kwa Mtibwa inapigwa na Humud Kabwili anapangua
Penalti ya kwanza kwa Yanga inapigwa na Kelvin Yondani kiufundi inagonga mwamba inamgonga kipa inatoka
Penalti ya kwanza inapigwa na Sultan Omary wa Mtibwa Sugar anafunga penalti ya kwanza inayomshinda Kabwili
Kabwili anaaanza kuokoa michomo ya Mtibwa Sugar

9 COMMENTS:

  1. haya waliokuwa wanawacheka waliotangulia kufunga halafu wakasawazisha! tusidanganyane mmewakwepa wao...kikosi gani hicho Yanga wamechezesha kama sio kumkwepa mnyama...Na kocha wenu huyo mzungu kila ligi aliyocheza timu yake au in ya 13 au 14 kati ya 16 hadi 18

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huyo wa Simba watu wazambia wameandamana ili afukuzwe kazi au haujui ilo baada ya miezi 8 tu kuifundisha timu ya Taifa ya Zambia

      Delete
    2. Zambia ni timu ya Taifa hapa tunaongelea kocha wa klabu za premium leagueambaye hata 10 bora hajawahi ingia....iwe Afrika kusini au Misiri.Mmeona jeshi la mnyama lililoshuka kwa ndege unguja mkaamua kuchezesha tutoto!

      Delete
  2. Walianza kwa kusema wameenda kuchukua kikombe cha kushangaza leo tunaambiwa wamekuja kushindana na sio kushinda mara ohh premium league bado asiumie mchezaji...unafiki huo

    ReplyDelete
  3. Wamekimbia na chupi mkononi.Ngekewa haiji mara mbili.

    ReplyDelete
  4. Bahati nasibu ya kushangilia droo imefikia ukingoni leo.Wangengoja waone muziki mzito.Watu wana hasira nao sana kufanya maandamano ya droo .

    ReplyDelete
  5. Kachukua kombe na AS Vita tu miaka kumi iliyopita sio kwamba yeye ni mzuri...Ni alikuta AS Vita wako vizuri.Kwingine kote hata kumi bora hafikii..Ukisikia kununua paka aliye kwenye gunia!

    ReplyDelete
  6. afadhali sasa zile habari za kushangilia droo, mara penalti mara hirizi zinaisha leo..loh aibuuu jangwani

    ReplyDelete
  7. Kocha DJ kaja na mkosi.Mechi ya kwanza tu wanakimbia?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic