TAMKO LA YANGA KUHUSIANA NA PENATI YA MEDDIE KAGERE ILIYOTOLEWA NA RUKIYAA Uongozi wa klabu ya Yanga umefunguka mambo kadhaa kupitia kwa Kaimu Kocha wake, Boniface Mkwasa, juu ya tuta walilopata Simba jana katika mechi ya ligi.
acha kuiga mambo ya zahera unakuwa kama msemaji bhana
ReplyDeletecoach akihojiwa ni wajibu wake kujibu hakufanya kosa mkwasa
ReplyDeleteAsemee na kwann Yondani hakupewa kadi stahiki
ReplyDeleteNakufananixha na zidane yangaaa inapanda juuu kwajiri yko
ReplyDelete