FT: Tanzania 5-1 Burundi
Zimeongezwa dakika 4
Dakika ya 84 Tanzania wanapeleka mashambulizi Burundi
Dakika ya 74 Tadea anaingia kuchukua nafasi ya Joyce Meshack
Dakika ya 71 mlinda mlango wa Tanzania anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 69 Burundi wanaandika bao la kwanza kupitia kwa Nadine Ndayiyashime baada ya mabeki kufanya uzembe
Dakika ya 64 Tanzania wanaliandama lango la Burundi
Dakika ya 51 Burundi wanashambulia lango la Tz
Kipindi cha pili kimeanza Uwanja wa Taifa
HT:Tanzania 5-0 Burundi
Goool : Aisha Masaka dakika ya 7,10, 56
Goaal: Joyce Meshack dakika ya 33
Goooal: Protasia Mbunda dakika ya 45+1
Mchezo kati ya timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake U 17 dhidi ya Burundi kwa sasa ni kipindi cha pili, Uwanja wa Taifa.
Mashabiki wamejitokeza kiasi chake uwanja wa Taifa kuipa sapoti timu ya Taifa, U 17.
Tanzania ipo mbele kwa mabao matano yaliyopachikwa kimiani na Aisha Masaka 7,10,56, Joyce Meshack dakika ya 33, Protosoa Mbunda dakika dakika ya 45+1.
Mchezo huu ni maalumu kwa ajili ya kuwania tiketi ya kufuzu kushiriki kombe la Dunia kwa Wanawake nchini India,mwishoni mwa mwaka huu.
0 COMMENTS:
Post a Comment