January 18, 2020

SVEN Vanderbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa ushindi mbele ya Mbao FC umewapa nguvu wachezaji wake kupambana kwenye mechi zao za ligi.

Simba kesho itamenyana na Alliance FC, Uwanja wa CCM Kirumba ikiwa na kumbukumbu ya kushinda mabao 2-1 mbele ya Mbao FC.

Sven amesema:"Wachezaji wameanza kujenga muunganiko mzuri na kwa sasa mwendo mkubwa ni kuona namna gani tutapata matokeo, mashabiki wajitokeze kwa wingi kutupa sapoti," amesema.

Simba ipo nafasi ya kwanza ikiwa na pointi 38, imecheza jumla ya mechi 15 itamenyana na Alliance iliyo nafasi ya 13 imecheza mechi 16 na pointi 20.

2 COMMENTS:

  1. Mwendo huohuo weka distance isiyofikika na yeyote. Timu imetulia Bila ya matatizo yeyote kila mchezaji analinda kibaruwa chake na kila aliyekuwa kalala sasa kaamshwa na kuamka kwasababu kumenona kwa Mnyama

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic