January 29, 2020


FT: Simba 3-2 Namungo
Kagere dk 88
Dilunga 38
Kahata 21

Namungo Goal: Bigirimana dk 35 na Lusajo
Dakika mbili zinaongezwa
Dakika ya 90 Bocco anafanya jaribio inakuwa kona
Dakika ya 88 Kagere Gool
Dakika ya 80 Namungo wanaelekea kwa Kakolanya
Dakika ya 73 Bocco anaingia kuchukua nafasi ya Dilunga
Dakika ya 70 Goool, Lusajo nje ya 18
Dakika ya 69 Tairone anaingia kuchukua nafasi ya Wawa ambaye amepata majeruhi.

Dakika ya 65 Dilunga anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 59 Simba wanapiga kona ya sita 
Dakika ya 56 Shiboub anafanya jaribio linapanguliwa na Barola
Dakika ya 56 Ajibu anakwenda benchi anaingia Chama
Dakika ya 54 Ajibu anapiga kona inaanuliwa
Dakika ya 46 Bukaba anaingia akichukua nafasi ya Daniel
Mapumziko: Simba 2-1 Namungo
Uwanja wa Taifa
Goaal; Kahata dk 31, Dilunga 38

Goaal kwa Namungo Bigirimana dk 35


Zinaongezwa dk mbili
Dakika ya 44 Shiboub anafanya jaribio linaokolewa na mlinda mlango
Dakika ya 38 Dilunga Goool. asisti Kagere
Dakika ya 35 Bigirimana Goool akimalizia pasi ya Lusajo ndani ya box 
Dakika ya 32 Mkude anafanya jaribio linaleta kona inayopigwa na Ajibu haizai matunda
Dakika ya 30 Simba wanaanzisha mashambulizi kuelekea Namungo
Dakika ya 23 Abarola anaokoa hatari langoni mwake
Dakika ya 22 Kahata goool akimalizia pasi ya Kapombe
Dakika ya 21 Bigirimana anazuiwa na Tshabala kufanya jaribio kwa Kakolanya ndani ya box
Dakika ya 15 Namungo wanapiga kona ya kwanza 
Dakika ya 14 Kapombe anakosa nafasi
Dakika ya 13 Ajibu anapiga kona haizai matunda
Dakika ya 11 Namungo wanaotea
Dakika ya 10 Namungo wanaanua majalo ndani ya box
Dakika ya 08 Ajibu anapiga faulo haileti matunda
Dakika ya 05 Namungo walifanya jaribio ambalo liliokolewa na Kakolanya
Kipindi cha kwanza:Simba 0-0 Namungo
Uwanja wa taifa
Ligi Kuu Bara

14 COMMENTS:

  1. Hii habari ya kuruhusu bao kila mechi hadi lini?

    ReplyDelete
  2. Yani mm sielewi kabisa huyu kocha tangia kaja boko anaingizwa bado dk 10 ana 15 maana yake nini kagere bila boko inakuwa shida yani sielewi kaokotwa wapi kaletwa hapa simba watu wanapiga pesa tu hapo simba mo anatowa pesa nyingi sana hakuna kinacho fanyika kwa kweli hata huwo ubingwa sijui kama tutachukuwa kwa kocha huyu jamani shida sana sana

    ReplyDelete
  3. Upumbavu mtupu wacha tufungwe tu timu kama hiyo inarudisha magoli yote si ujinga mtupu huu hakuna kinacho onekana uwanjani zaidi ya ujinga na huyo mzungu wenu hakuna kitu

    ReplyDelete
  4. Mm ningekuwa MO ningeachana na hii timu ujinga mtupu aibu tupu upumbavu mtupu

    ReplyDelete
  5. What's up with Simba? yaani tangia MO atangaze kujiuzulu Simba imekosa muelekeo

    ReplyDelete
  6. Hakuna linalo fanyika hata hilo goli tumepewa tu

    ReplyDelete
  7. Kabwili alikuwa sawa goli la tatu offside marefa na vishika vibendera wanaongwa.Kwa staili hiyo chukueni kombe lenu ila msitarajie kitu caf champions league

    ReplyDelete
  8. Kabwili alikuwa sawa goli la tatu offside marefa na vishika vibendera wanaongwa.Kwa staili hiyo chukueni kombe lenu ila msitarajie kitu caf champions league

    ReplyDelete
    Replies
    1. Usitoe povu....Malinzi karibu atarudi TFF

      Delete
  9. Ata mtaalam wa mpira alipoulizwa anafikiri kwa nini Aussems ameondolea Simba alichojibu labda anadai malipo makubwa. Kwa mwenye akili alielewa.huku viongozi wanang'ang'ania hana kiwango!! Kumbe kukasilikiana na the big boss! Simba siyo yetu jmn. Sisi ni kama mashabiki wa Azam tu tunashangilia timu ya mwenyewe. Nenda pale Msimbazi uniambie kama ni makao makuu ya SSC!! TUMEIBIWA TEAM WATU WANAPIGA NAYO FEDHA.

    ReplyDelete
  10. Watanzania na hasa walioangalia mpira leo nadhani wameanza kumwelewa Kabwili

    ReplyDelete
  11. Povu za mimba changa.Kanunueni ndimu mlambe.Pointi TATU kibindoni .Vyura mlipofungwa nä Kagera na Azam wamebebwa?Chezeni mpira acheni majungu. Mlizoea mbeleko za Malinzi leo hamna tena.Mmesahau vigisu za kucheza nä Ndanda mechi zote mbili Daressalaam?Kagera wanacheza na mchezaji mwenye kadi 3 za njano???Vyura zama za kubebwa ni historia chezeni,mpira acheni majungu.

    ReplyDelete
  12. umesahau na lile goli la Tambwe la kushika na mkono

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic