February 8, 2020

5 COMMENTS:

  1. Hata muandike vipi Simba bado anaongoza ligi na ndio bingwa kwa misimu iliyopita. Hakuna crisis yeyote katika klabu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Bila offsides na kubebwa mnachapika tu, sasa ngoja ushuhudie vichapo vitakavyo waandama.Tatizo midomo yenu

      Delete
  2. Eti yanga wanafanya vema,kwenye nini labda?kwani kuna ligi nyingine ambayo yanga wanashiriki tofauti na hii ya vodacom?hakuna kitu pale timu ina wastani wakufungwa kila mechi alafu unasema wanafanya vizuri,wamefunga magoli mangapi?sio zaidi ya ishirini labda na mbili,alafu unawapa sifa,acha uyanga wewe,amechapwa mechi tatu na amesuluhu mechi kibao na bado hajamaliza hata mzunguko wa kwanza,ukitafuta goli differnce anabaki na magoli chini ya kumi alafu unampa ujiko,hili zengwe mnalojitahidi kulitengeneza ili simba asichukue ubingwa jitahidin inawezekana mkafanikiwa tena kirahisi kabisa,yanga bado sana kwa simba na mtasubiri sana,hata ukifuatilia rekodi yanga alishahusika kwenye hujuma za upangaji wa matokeo mwaka 1983 mpaka CAF waliingilia hii ishu fuatilieni rekodi zinaonyesha,Tanzania haijatokea tena historia kama hii,kwa ufupi simba wasipokua imara katika kipindi hiki watapotea,tunajazwa ujinga kwamba kocha aliopo simba hana uwezo lakini hii sio kweli isipokua dhamira ya upande wa pili nikudhoofisha timu ili iwawie rahisi kuchukua ubingwa,sasa kama mnabisha ngoja muone kitakachotokea ipo siku simba atakuja kupokwa pwenti tena ndani ya msimu huu huu,ila siku zote mwenye haki hawezi kuangamia kamwe isipokua atachelewa tu kupata haki yake,yanga jitahidi matunda yanaanza kuonekana tayari kashapoteza pwent 3 tafuteni mbinu tena wa ajili ya game ijayo apigwe ili iwe rahisi Kwenu,isipokua nanyi pia mjiandae maaana huko mnakokwenda mtaangukia pua.ahsantenI.

    ReplyDelete
  3. Tukifanya vizuri kwenye ligi kichwa cha habari linakua kidogo na habari kubwa inaandikwa yanga hata kama haijacheza,Leo mmeandika kikubwa kwa maana simba imefungwa,hapa mnaonyesha ushabiki wenu badala ya uweledi,sasa kilichobaki ni kuanzia kampeni ya mashabiki wa simba kutokununua magazeti yenu,yes.simba msinunue mpaka mbadilike haki kwa kila timu iwepo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Bwana Kaka daws siyo kunywa supu bali kuacha pombe! Kuacha kununua magazeti hakutoondoa kasoro ya magoli ya offside wala penalti za kubebwa au kumezewa faulo! Kwa kuwa jamii yote ya wapenda soka imewashitukia mapema sasa mjipange vizuri la sivyo vichapo ni halali yenu; na raundi ya pili hii hakuna mswalie mtume.

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic