February 22, 2020


KIUNGO Mshambuliaji Bernard Morrison anayekipiga ndani ya Yanga  amepelekwa Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kosa la kumpiga kiwiko mchezaji wa Tanzania Prisons FC Jeremia Juma.

Morrison alifanya hivyo wakati mpira ukiwa umesimama kwenye mchezo uliofanyika Februari 15, 2020 uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Mchezo huo ulikamilika kwa Yanga kugawana pointi moja na Prisons baada ya kuisha kwa sare ya bila kufungana.

6 COMMENTS:

  1. Kuna mtu anaweza kunieleza sababu ya Yanga kutocheza viporo vyake na Namungo nä Mwadui kabla ya kuanza raundi ya pili???

    ReplyDelete
  2. waanze na Wawa kisha NMkude ndipowaje kwa Morisson , TFF vichaa tuu na matumbo yao makubwa wanfikiria kutumia matumboo

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic