KIUNGO Mshambuliaji Bernard Morrison anayekipiga ndani ya Yanga amepelekwa Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kosa la kumpiga kiwiko mchezaji wa Tanzania Prisons FC Jeremia Juma.
Morrison alifanya hivyo wakati mpira ukiwa umesimama kwenye mchezo uliofanyika Februari 15, 2020 uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mchezo huo ulikamilika kwa Yanga kugawana pointi moja na Prisons baada ya kuisha kwa sare ya bila kufungana.







Afungiwe maisha kibaka huyo,
ReplyDeleteAfungiwe maisha kibaka huyo,
ReplyDeleteKuna mtu anaweza kunieleza sababu ya Yanga kutocheza viporo vyake na Namungo nä Mwadui kabla ya kuanza raundi ya pili???
ReplyDeleteAfungiwe maisha mama yako
ReplyDeleteTFF mavi tuuuuu
ReplyDeletewaanze na Wawa kisha NMkude ndipowaje kwa Morisson , TFF vichaa tuu na matumbo yao makubwa wanfikiria kutumia matumboo
ReplyDelete