February 22, 2020


KLABU ya Azam FC imetozwa faini ya Tsh 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la timu hiyo kuchelewa kutoka uwanjani hata Kamishna alipowaita walikaidi amri ya kutoka vyumbani na golikipa wa timu hiyo kuchelewa zaidi na alipofika uwanjani kushindwa kuwapa mikono timu pinzani (Coastal Union).

 Kwenye mchezo huo uliofanyika Februari 15, 2020 katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, Azam ilifungwa mabao 2-1.

Adhabu hiyo imetolewa kwa kuzingatia kanuni ya 14(43) ya Ligi Kuu kuhusu Taratibu za Mchezo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic