February 22, 2020


KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroek amesema kuwa mchezo wa leo dhidi ya Biashara United utakuwa na ushindani ila malengo yao makubwa ni kupata pointi tatu.

Sven atashuka uwanja wa Taifa majira ya saa 1:00 na kikosi chake ambacho kimetoka kushinda mbele ya Kagera Sugar Uwanja wa Taifa.

"Wapinzani wetu wanaingia uwanjani wakiwa na malengo ya kushinda na kuzipata pointi tatu ndivyo ilivyo na kwetu pia, tunazihitaji pointi tatu pia.

"Wachezaji wapo vizuri na kila kitu kinakwenda sawa, imani yangu ni kuona kwamba tunafikia malengo yetu, tumekubaliana kutoa burudani na kupata ushindi," amesema.

1 COMMENTS:

  1. Our sincere request from you is to widen and widen the gap against those who are still dreaming to win the dear disputed championship that they are loosing for the third year running

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic