February 7, 2020

SIMBA leo itakuwa Uwanja wa Uhura saa 10:00 Jioni kumenyana na JKT Tanzania kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara ikiwa ni mchezo wa mzunguko wa pili.

Kikosi cha Simba kitakosa huduma ya wachezaji sita wa kikosi cha kwanza kutokana na sababu mbalimbali.

Taarifa kutoka Simba zimeeleza kuwa wachezaji wao wanne ni majeruhi huku wawili wakiwa ni wagonjwa hivyo wataukosa mchezo wa leo dhidi ya JKT Tanzania hawa hapa:-

Majeruhi:-
 Mzamiru Yassin
 Miraji Athumani
 Deo Kanda
 Erasto Nyoni

Wachezaji ambao ni wagonjwa (sio majeruhi)
 Shomari Kapombe
 Rashid Juma

1 COMMENTS:

  1. Wachezaji hao ambao ni ",pigo" kwa kukosekana kwenye mchezo wa Leo walicheza lini hivi karibuni?Rashid Juma ni kikosi cha kwanza???

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic