March 7, 2020


BEKI wa Azam FC, Oscar Masai amekubali kuongeza mkataba wa miaka mitatu ndani ya klabu yake hiyo.

Nyota huyo amekulia kwenye Academy ya Azam FC iliyopo maeneo ya Mbagala, Chamazi na alipandishwa timu ya wakubwa msimu wa 2018/19.

Mkataba wake wa awali uliokuwa unameguka mwezi Septemba umeongezwa mpaka mwaka 2023.

 Masai amesema kuwa anaona furaha kubaki ndani ya klabu hiyo ana imani ya kuendelea kuishi ndoto zake.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic