March 6, 2020

BEKI chipukizi wa Azam FC Lusajo Mwaikenda makataba ataendelea kuitumikia klabu yake hiyo mpaka mwaka 2023.

Hatua hiyo imekuja baada ya kupewa kandarasi mpya ya miaka mitatu na akakubali kusaini kuendelea kubaki ndani ya klabu hiyo.

Mkataba wa nyota huyo ulikuwa unameguka mwezi Septemba kwa kusaini dili hilo atabaki ndani ya Azam inayotumia Uwanja wa Azam Complex mpaka mwaka 2023.


Lusajo amepandishwa timu ya wakubwa msimu wa 2018/19 na sasa anakipiga timu ya wakubwa ambayo inashiriki Ligi Kuu Tanzania Bara.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic