March 6, 2020

UONGOZI wa  Yanga umesema kuwa utaonyesha soka safi lisilo na makandokando kwenye mchezo wao utakaochezwa Machi 8, Uwanja wa Taifa dhidi ya Simba.

Yanga iliyo chini ya Luc Eymael itakutana na Simba kwenye mchezo wa pili wa Ligi Kuu Bara ikiwa na kumbukumbu ya kutoka sare ya kufungana mabao 2-2 Januari 4.

Ofisa Uhamasishaji wa Yanga, Antonio Nugaz amesema:" Mashabiki wa Yanga ni siku yetu kuonyesha soka lisilo na makandokando na kila mchezaji anajua jukumu lake tupo tayari kuonyesha soka safi kwa kuwa tumejipanga na tunaamini inawekezakana.

"Kwenye mchezo wetu dhidi ya Simba tuna kazi moja ya kutafuta ushindi ukizingatia kwamba tumetoka kumalizana na Mbao na kupata ushindi mnono wa mabao 2-0,".

5 COMMENTS:

  1. YANGA JIPANGE MTANI,SIMBA SIO LEVEL YAKO ATAKUGONGA GOLI NYINGI SANA,LABDA UPAKI BASI ILA KICHAPO KITAKUHUSU KWA NAMNA YOYOTE ILE,CHAKUFANYA LABDA KUPUNGUZA MAGOLI LAKIN KUFUNGWA LAZIMA.

    ReplyDelete
  2. Mnyama hatangazi vita wala mamilioni Bali mipango Yao na kujiombea maduwa mazuri. Wana ahlaki za uungwana

    ReplyDelete
  3. Mpira Una matokeo ya ajabu Sana Ila mkeka wangu nampa simba

    ReplyDelete
  4. Ha ha ha ha ha refa na tifutifu watakuchania mkeka,nakushauri mpe chura a.k.a ccm fc.povu kama kawaaaaaa

    ReplyDelete
  5. Hamna silaha za kumkabili Mnyama na mutaondoka nyuso chini

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic