March 6, 2020

KUELEKEA kwenye mchezo kati ya Yanga na Simba utakaopigwa Machi 8, Uwanja wa Taifa, Mwenyekiti wa Bodi ya Uwekezaji ndani ya Simba, Mohammed Dewji 'Mo Dewji' amewatumia ujumbe wachezaji na Kocha Mkuu Sven Vandenbroeck.

Mchezo huo utakuwa ni wa pili msimu huu 2019/20 baada ya ule wa kwanza uliochezwa Januari 4,2020 timu zote kutoshana nguvu kwa kufungana mabao 2-2.

Kupitia Ukurasa wake wa Istagram Mo Dewji ameandika:-"Hongera Kocha Sven kwa kazi nzuri kwa kweli wachezaji wetu wanajituma kwenye michezo yote tunayocheza. Sasa tujipange kwa mchezo wa Jumapili na watani wetu. Lengo letu ni kuwa Mabingwa.

2 COMMENTS:

  1. Unawaona vijana hao. Hawana majisifu wala kelele, mambo kimyakimya

    ReplyDelete
  2. Hao hata pale wanapotowa motesha wa mamilioni, hawatowi kwa majisifu ili kila mtu ajuwe na anayetoa zawadi kwa yeyote Inatakiwa ukimpa kwa mkono wa kulia, mkono wa kushoto usijuwe kuwa mkono wa kulia umetowa zawadi na Mnyama anapotowa, hutoa kimyakimya

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic