March 4, 2020



Timu ya Simba ikiwa imecheza mechi 25, Manula amekaa langoni kwenye mechi 18 huku mechi saba akikaa mlinda mlango namba mbili Beno Kakolanya.

Simba ikiwa imefungwa mabao 13 amefungwa mabao 8.
Ametoka na clean sheet 12 ambapo ilikuwa ni mbele ya Kagera Sugar 0-3 Simba, Biashara United 0-2 Simba,Simba 1-0 Azam FC,Singida United 0-1 Simba,Simba 4-0 Mbeya City,Simba 0-0 Prisons,Ruvu Shooting 0-3 Simba, KMC 0-2 Simba,Mtibwa Sugar 0-3 Simba, Lipuli 0-1 Simba na Simba 1-0 Kagera Sugar, Simba 2-0 KMC.

Ametunguliwa mbele ya Simba 3-1 JKT Tanzania, Simba 2-1 Mtibwa Sugar, Mwadui 1-0 Simba, Simba 0-1 JKT Tanzania, Simba 2-2 Yanga, Biashara Uited 1-3 Simba.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic