KADI ya njano aliyoonyeshwa mchezaji wa Arsenal, Matteo Guendouzi na refa Mike Dean imezua balaa kwa mashabiki wakidai kwamba ni kadi ya ajabu kutokea.
Guendouzi alionyeshwa kadi hiyo kwenye mchezo wa Kombe la FA England mbele ya Portsmouth iliposhinda mabao 2-0 kwa kitendo chake cha kutumia nguvu nyingi kuweka chini mpira ili apige mpira wa adhabu.
Kupitia kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii baadhi ya mashabiki ikiwa ni pamoja na Dan Critchlow ameandika kuwa kadi ya njano ya Mike Dean hajawahi kuiona ikitokea ndo mara yake ya kwanza.
JBTM ambaye ni shabiki wa Arsenal amesema kuwa Mike Dean ni shabiki wa Spurs.
Dean amesema kuwa anafanya kazi kwa kuzingatia kanuni na utaratibu kwani amekuwa refa kwa muda wa miaka 10.
Nje ya urefa huyu jamaa ni shoga yaani anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja,na mwanaume wake ni D.Levy
ReplyDelete