March 12, 2020


KIKOSI cha Yanga leo kimekubali kichapo cha bao 1-0 mbele ya KMC mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Uhuru.

Kichapo cha leo ni cha nne kwa Yanga iliyocheza mechi 26 ikiwa na pointi 50 kibindoni inashika nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara.

Bao pekee la ushindi lilifungwa na Salim Aiyee dakika ya 62 kwa shuti lililomshinda mlinda mlango Metacha Mnata.

Ushindi huo unaifanya KMC kusepa na pointi tatu jumla za Yanga na kufikisha pointi 30 na kupanda kutoka nafasi ya 18 mpaka 16 kwenye msimamo.

6 COMMENTS:

  1. Ndio Kwanza mmeamka siku ilipofungwa Simba ripoti za haraka na majisifu na kebehi ziliendela mpaka leo kabla ya mechi. Leo wamefungwa wa Jangwani kwasababu Katika mechi ya leo hawakutajiwa mamilioni kwahivo hapakuwa na morali

    ReplyDelete
  2. Enter your comment...poleni mbute fc viva simba sc viva tanzania

    ReplyDelete
  3. Ushirikina ndio uliowabeba Yanga siku ya Simba na wasiporoga kwenye mechi ya Namungo watafungwa tena.

    ReplyDelete
  4. Azam, Namungo na Polisi wanawangojeeni

    ReplyDelete
  5. Fom now onward, no longer Yanga fan

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic