March 12, 2020


MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba amesema kuwa kikubwa kinachompa mafanikio ni ushirikiano anaoupata kutoka kwa wachezaji wenzake na kutimiza majukumu yake ndani ya kikosi hicho.

Kagere ni kinara wa utupiaji akiwa na mabao 19 na alifunga hat trick yake ya kwanza msimu huu wa 2019/20 mbele ya Singida United kwenye ushindi wa mabao 8-0 mchezo uliochezwa Uwanja wa uhuru.

Kagere amesema:"Kikubwa ni ushirikiano na sapoti kutoka kwa wachezaji wenzangu pamoja na mashabiki, ninaamini kuna mengi ambayo yanakuja kutokana na ushirikiano huu, ninawaomba mashabiki waendelee kutupa sapoti," amesema.

Simba imefunga mabao 63 ikiwa nafasi ya kwanza kwenye msimamo na pointi zake ni 71.

9 COMMENTS:

  1. Hao kandambili aka gongo wazi mbona huyo salehe andiki leo aibu walio ipata au hawakumpa mganga wao pesa yake wamefungwa au hawajamlipa refa leo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mganga wao wamemnunulia baiskeli ndio sababu

      Delete
  2. Naona leo vyura wamefumbwa midomo hahaaaaaa!

    ReplyDelete
  3. Enter your comment...tumehitaji matokeo ya leo kati ya yanga vs kmc msijifanye kutojua chochote

    ReplyDelete
  4. Matokeo ya leo ndio asante ya mamilioni ya GSM. Semeni mmeonewa na Simba inapendelewa

    ReplyDelete
  5. Alafu Salehejembe hataki kuweka matokeo ya gongo wazi sijui kwanini?

    ReplyDelete
  6. Inamuuma hiyo timu yao ya GONGO WAZI na bado wanasubiriwa na azam namungo hawatoki wajinga hao

    ReplyDelete
  7. GOLI 19 NA BADO LIGI HAIJAISHA GONGO WAZI MPO? MATOKEO YA LEO HAWANDIKI HUYO SALEHE JEMBE

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic