KUELEKEA mchezo wa watani wa jadi, Yanga na Simba unaotarajiwa kuchezwa, Machi 8, Uwanja wa Taifa tayari mkwanja umewekwa mezani ili Yanga imalize mchezo huo mapema.
Imeelezwa kuwa miongoni mwa wadhamini wa Yanga, Kampuni ya GSM, imeweka mezani mamilioni ya fedha endapo Yanga itashinda mchezo huo kwa idadi yoyote ya mabao.
"Mchezo wa kwanza wachezaji waliwekewa mezani milioni mia mbili ila Ile sare ya kufungana mabao 2-2 waliambulia milioni 50 lakini safari hii mkwanja umeongezeka iwapo watashinda.
"Kinachoendelea kwa sasa ni hamasa na kuona namna gani wachezaji watapata ushindi mbele ya Simba, wameahidi kufa na kupona ili kupata mkwanja na pointi tatu," kilieleza chanzo hicho.
VYURA MTAACHA LINI UTOTO?ASIPOPEWA PIPI ATUMWI DUKANI ACHENI UTOPOLO WENU ETI AMASA YA PESA KWANI HIYO TIMU MPAKA WAAIDIWE PESA NDIO WASHINDE MBONA SIJASIKIA MNYAMA AKIAIDIWA CHOCHOTE LAKINI ABATAFUNA TU KILA KINACHOPITA MBLELE YAKE.NNAWADANGANYA WASIDAI MISHAHARA YAO KALAGABAO UTOPOLO FC AKA MALALAMIKO
ReplyDeletePole sana Kijana,inaonekana hujui ulisemalo kupitia ukurasa huu,Rudi kijiweni kapokee tena nasaha na anasa kutoka jwa vijana wanaovaa suruali chini ya kiuno kama wewe,mkiwepo kumi kwenye kutafuta suluhu ya tatizo basi hapo sio kutatua bali mtazidi kutengeneza matatizo mengine zaidi,ubongo wako ni mdogo zaid ya chembe ya vumbi alafu bado unatumia theluthi(1/3)ya ubongo huokufikiri nakupambanua mambo,ndiomana hakuna atakaekulaumu maana tayari tumeshakuelewa uwezo wako.chamsingi tambua mahali popote pale katika mazingira ya kazi kuna kitu wanaita motivation my dude lazima hayo mambo yawepo.
ReplyDeleteHuyu asiejua Suala la motivation ktk kazi, sio wa kimlaumu huenda hajawahi kuajiriwa, kwahiyo hayo Mambo Ni mageni kwake.
ReplyDeletePia ukiomtu anachukia mipango ya mwenzie Ni dalili ya roho mbaya na asadi.
Tusimlaumu Sana ndio asili ya baadhi ya wanadamu