March 5, 2020


JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool amesema kuwa kichapo cha mabao 3-0 walichokipata kwenye mchezo wa Ligi Kuu Englad kimewavuruga.

Liverpool imetolewa na Chelsea kwenye mchezo wa Kombe la FA England kwa kichapo cha mabao 2-0 ilitoka kupokea kichapo cha mabao 3-0 mbele ya Watford kwenye mchezo wa Ligi Kuu England ambao ulikuwa ni wa kwanza kwao kupoteza msimu huu baada ya kucheza mechi 27 bila kupoteza.

Klopp amesema: "Tulivurugwa vibaya na Watford wakati tukichapwa mabao 3-0, hawa Chelslea ilikwa kawaida tu ila nafikiri tutarudi kwenye ubora wetu na kufanya kazi kama tulivyokubalina,".

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic