March 5, 2020



UONGOZI wa Yanga na mdhamini GSM wamehaidi kutoa Sh 200milioni kwa wachezaji wa Yanga iwapo watashinda mechi yao dhidi ya Simba Jumapili kwenye Uwanja wa Taifa.

Akizungumza makao makuu ya Yanga, Afisa Mhamasishaji wa Yanga, Antonio Nugaz alisema wadhamini wa GSM wameweka mezani Sh200 Milioni kwa wachezaji endapo watapata ushindi wa aina yoyote siku hiyo.

7 COMMENTS:

  1. hata waweke 500 MIL lazima mlie tu

    ReplyDelete
  2. WATAFUNGWA TU HATA WAWEKE MILIONI BUKU LAZIMA WAPIGWE.YANGA MNA HAHA SANA,MNA KAZI YAKUKUSANYA WAANDISHI THEN KUONGEA PUMBA MAANA KIUHALISIA HAKUNA LOLOTE MNALOFANYA ZAIDI YAKUWAHAMASISHA WASHABIKI WENU KWA AHADI ZA UONGO NA MATUMAIN AMBAYO WALA HAYAWEZI KUTIMIA,USHAURI WA BURE "MNAPOKUA MNAONGEA NA WASHABIKI MNAPASWA KUA NA MIPAKA MAANA KUNA WAKATI UONHO WENU UTAGONGA MWAMBA AU UTAFIKA MWISHO"JAPO MNAOWASHAWISHI NI KAMA CHURA ANAEPIKWA NDANI YA MAJI MPAKA ATABABUKA NGOZI KAMWE HAWEZI KUGUNDUA LOLOTE,BASI HAWA NDIO SHABIKI WA YANGA.ANYWAY KILA LA HERI YANGA ENDELEENI NA UKANJANJA WENU.

    ReplyDelete
  3. Is simba working to Win the Game Again? africa amazaning

    ReplyDelete
  4. What the mighty Lion does today, they follow the suit the next day

    ReplyDelete
  5. Tufanye mnaifunga Simba kwa milion 200 mnapata point ngapi? Akili ndongo kweli!!!

    ReplyDelete
  6. Sasa izo milioni 200 siwangempa moo tukawauzia mchi na goli moja jamani alafu sisi tunasajili majembe mawili hapo kwakutumia hiyo 200m.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic