March 4, 2020


Mechi ya Ligi Kuu Bara leo Kati ya Lipuli na Ndanda FC imeahirishwa kutokana na mvua kubwa kunyesha mkoani Iringa hali iliyosababishwa sehemu ya kuchezea Uwanja wa Samora kujaa maji.

Pia mchezo kati ya KMC v JKT Tanzania Uwanja wa Uhuru, Mwadui FC na Polisi Tanzania Uwanja wa Kambarage yote imeahirishwa kutokana na mvua.


Pia kutokana na hofu ya ugonjwa wa Corona wachezaji wameambiwa na Shirikisho la Soka la Mpira Tanzania (TFF) kutopeana mikono na badala yake watatumia njia mbadala.

1 COMMENTS:

  1. Nadhani uwezo wa kufikiri wa viongozi wa TFF una walakini,hivi inaingia akilini kweli eti wachezaji watumie njia mbadala kusalimiana halafu wanaingia uwanjani kucheza mpira huku wakigombea mpira,wakizuiana kwa kukumbatiana,wakisukumana na kuvutana jezi halafu unasema unajikinga na corona........Au labda nitakuwa sijawaelewa

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic