March 5, 2020

FRANCIS Kahata, kiungo mshambuliji wa Simba anayefanya kazi kwa ukaribu na kiungo Jonas Mkude amesema kuwa walicheza kwa kupanda na kushuka kutokana na mpira kuwa na kanuni nyingi tofauti,

Kiungo huyo wa Simba jana alikuwa ni sehemu ya kikosi kilichoibuka na ushindi wa mabao 3-2 mbele ya Azam FC mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Taifa.

"Tulikuwa tunapanda na kushuka kutokana na aina ya mpira ambao tulikubaliana kucheza, kuna wakati tulishindwa kufanya vizuri kutokana na kutokuelewana lakini haya ni mambo ya kawaida kwenye mpira.

"Kitu kikubwa ambacho tulikuwa tunakihitaji ni pointi tatu ambazo tumezipata mashabiki watupe sapoti,".

Jana, Machi 4, Simba ilianza kwa spidi ya chini na kuruhusu kufungwa bao la mapema dakika ya nne ambalo liliwekwa usawa na Nyoni, licha ya kushinda walionekana kucheza kwa kiwango cha kupanda na kushuka.

5 COMMENTS:

  1. mbona hamuongelei kunyimwa penalty Azan na goli la kagere kua aliempigia cross alipiga wakati mpira ukiwa ushatoka nje ya mstari ????

    ReplyDelete
    Replies
    1. ACHA UONGO BROTHER KAKA,MPIRA ULIKUA HAUJATOKA BHANA AU UMEKOSA LAKUONGEA?KILA SIMBA AKISHINDA KABEBWA AMAKWELI DUNIA HADAA ULIMWENGU SHUJAA,MTAPIKA MAJUNGU SANA WAKATI WENZENU WANAPIKA MAGOLI NA USHINDI KILA KUKICHA MWISHO WA SIKU SIMBA AKITANGAZA UBINGWA MNALALAMA,WAJINGA NYIE.

      Delete
  2. mpumbavu wewe acha unafiki mpira ulitoka wapi acheni ushamba

    ReplyDelete
  3. Lilikuwa moja ya magoli matamu sana kuyaona

    ReplyDelete
  4. Naangalia marudio ya Yanga na Lipuli hapa.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic