FT: Azam FC 2- 3 Simba
Uwanja wa Taifa
MPIRA umemalizika Uwanja wa Taifa kwa Simba kushinda kwa mabao 3-2 na kusepa na pointi tatu.
Obrey Chirwa alitungua Aish Manula dakika ya 83 lakini mwamuzi alitafsri kuwa ameotea.
Chilunda alionyeshwa kadi ya njano dk ya 84
Wawa alionyeshwa njano dk 75 Goaal Kagere dk 71 pasi ya Kapombe
Goal dakika ya 49 kwa pasi ya Chilunda
Goaal kwa Simba, Nyoni dk ya 8 na Kanda dk ya 14
Goaal kwa Azam FC dk 4 Tegere
Azam FC inashambulia kwa kushtukiza huku Simba ikiwa kwenye mpango wa kutengeneza nafasi
Dakika moja inaongezwa
Mchezaji wa Azam FC anakuwa wa kwanza kuonyeshwa kadi ya njano Uwanja wa Taifa
Dakika ya 14 Kanda anafunga Goaaal la pili Dakika ya 8 Nyoni anafunga bao kwa kichwa Dakika ya 4 Nevere Tegere anamtungua Aish Manula kwa guu la kulia
AZAM FC leo imeikaribisha Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara Uwanja wa Taifa.
Mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Taifa Azam FC ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0 mfungaji akiwa ni Meddie Kagere hivyo leo ni mchezo wa kisasi.
hutaki kuandika mechi
ReplyDeleteTwataka mkono hapo 5
ReplyDeleteHa ha ha ha ha simba ahemea gesi,hapo hakuna mteremko lazima jasho litoke.
ReplyDeleteMpira ni kutoka jasho sio draft. Kwani matokeo ya mwisho ngapi ngapi??Ha ha ha ha ha ha
ReplyDeleteNikweli tumeuona mkono alioutaka jamaa umetimia.
ReplyDeleteyanga wananuna nini jamani
ReplyDeletePenati 2 na bao la offside=Azam kuonewa
ReplyDeleteSimba=Goli la Kagere krosi ya kapombe mpira uko nje Je ni Utata?
Mtasumbuka sana lakini kumbukeni jana raisi wa CAF alikuwepo akiangalia mpira mubashara uwanjani na mnazidi kudhihirisha udhaifu wenu maana kama nikushuhudia kiwango cha simba amekishuhudia kwa macho yake sasa wewe endelea kulalama ila mwisho wa siku mwenzako anazidi kupanda kiwango CAF,simba anacheza mpira katika bara la Afrika simba ndio klabu inayocheza mpira wenye burudani kuliko klabu nyingi sana ukweli haupingiki japo povu litawatoka sana,na hata takwimu zinathibitisha kwamba kama kubebwa ni dhana inayotokana na makosa ya waamuzi basi takwimu zinaonyesha YANGA ndio klabu inayoongoza kwakubebwa,tusubiri tarehe 8 maana hapo ndio atajulikana bingwa wa ligi kuu japo tayari maana ni ngumu sana kwa simba kufungwa mechi sita kati ya kumi na mbili alizobakisha,na kwa vile FA fainali itachezwa baada ya ligi kuu simba hatakua na mpango na hilo kombe amini usiamini yeyote atakaecheza na simba FA atashinda.
ReplyDelete