March 11, 2020


FT: VPL: Uwanja wa Uhuru
Simba 8-0 Singida United
Goal dk Shibob 59 pasi ya Kanda
Goal: Boco dk 19
Goal : Kagere dk ya 1,25,41,71
Goal: Deo Kanda dk 12, 18 Kagere anafunga bao la kwanza dk ya 1 akimalizia pasi ya Tshabalala

Dakika ya 56 Boban anaonyeshwa kadi nyekundu kwa kuonekana akimpiga kiwiko Manula

Dakika ya 52 Bocco anatoka anaingia Fraga
Dakika ya 45 Kapombe anatoka anaingia Gadiel Michael
Mkude anatoka anaingia Shiboub Kagere anafunga hat trick ya kwanza leo ndani ya msimu wa 2019/20 SIMBA wakiwa na hasira za kufungwa na Yanga bao 1-0 Machi 8 Uwanja wa Taifa leo wanamenyana na Singida United Uwanja wa Uhuru.

Mashabiki waliojitokeza ni wachahche Uwanja wa Uhuru kushuhudia pambano la leo.

4 COMMENTS:

  1. Jamani sijaangalia mechi matokeo vipi ya simba na singida?

    ReplyDelete
  2. Wamenunuliwa mechi ili kuwaziba mdomo wapenzi. Ogopa sana watu waliokibiashara waliojipanga kuichukua timu wapige hela. Ata Yanga kuweni makini kesho msipojipanga na macamera mmepigwa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha ushamba, Yanga wangekuwa wazuri wamewahi fika wapi kimataifa kama si kubebwa tu miaka yote.

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic