April 12, 2020

MPIANA Mozizi anakipiga ndani ya Klabu ya FC Lupopo inayoshiriki Ligi Kuu nchini Congo.
Timu yake ipo nafasi ya 11 ikiwa imecheza mechi 22 kibindoni ina pointi 24.
Nyota huyo anatajwa kuwekwa kwenye hesabu za klabu za Bongo ambazo zinahitaji kuipata saini yake.
Inaelezwa kuwa Yanga, Azam na Simba zipo kwenye mpango wa kuipata saini yake.

4 COMMENTS:

  1. Hana qualifications zakumfanya atue simba na wala simba hawana mpango na huyo mtu,ila kiki zakuuzia magazeti lazima ziandike ujinga huu,imekua kama mtindo flani unaotumika na baadhi ya media kuitumia simba kama kiki,na hata yanga hawana mpango na huyo mtu acheni uongo jamani hee.mtu anacheza timu iko nafasi ya nyuma kiasi hicho je timu ya taifa ana namba kweli huyo?kama stars inajazwa na top 5 tanzanian clubs how about them?acheni ujinga hana vigezo kama kweli anacheza timu iliyo nafasi ya 11/12.ila kwavile magazeti nayo yanatafuta kula kazaneni tu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Simba ni timu ndogo tu km mtibwa tu,VP itumike km kiki?acha ushabiki wa kijinga

      Delete
    2. Punguza povu dude kwani ametajwa simba pekeake hapo?alafu usijitoe ufahamu kwani husomi magazet yenu ya kila siku yanavyoandika ujinga kuhusu wachezaji wa timu flani kujihusisha na simba lakini mwisho wa siku uongozi wa simba unakanusha?simba ndio kiki brother hata ukatae ila ukweli utabaki hivyo,eti tshishimbi mali ya simba,yondani asaini miaka miwili simba,au unajisahalisha brother?watakucheka wenzako,vichwa ya habari vinaitaja simba maana inajulikana ndio gazeti litauza sana usijitoe ufahamu wakati ukweli unaujua.

      Delete
  2. Nikweli usemalo japo sio kwa asilimia zote,na huo ni mfumo wa dunia nzima kwa nchi ambazo hazina usimamiz wa kisheria kwenye medias,yani code of conduct and policies hazizingatiwi,mmutu inaandika taarifa alafu chanzo hakijulikani,kumbe amekaa tu chini akaamua kutunga nakuweka kwa blog ilimradi apige pesa(ppc)blogers watanielewa hapa but mnapaswa kujua kwamba mnatengeneza tatizo lakudumu maana mtakimbiwa na wateja permanent then i dont know whom one is going to be blamed.kama sio wazo la mhariri ambalo pia likiwekwa lazima liwe kama mdahalo ili kuruhusu mawazo ya wengine kuchangia hoja,ninavyojua hilo pekeake ndio halina chanzo maana muhusika ni mhariri wa media husika(EDITOR).ahsante nawakilisha kama ilivyo.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic