Ibrahim Ajibu, kiungo huyu mshambuliaji wa Simba alikuwa na wakati mzuri alipokuwa ndani ya Yanga msimu wa 2018/19 tofauti yake na yule wa Yanga ambaye alikuwa anapewa nafasi kikosi cha kwanza.
Usajili wake ulitikisa Bongo kutokana na dili lake la kujiunga TP Mazembe kuja wakati wa usajili ila danadana zikawa nyingi akaibukia Simba.
Wakati akiwa Yanga alitupia mabao sita na alikuwa ni namba moja kwa kutengeneza pasi za mwisho alitoa 17.
Mambo yamekuwa magumu kwa sasa ndani ya Simba amecheza mechi 16 kati ya 26 na ametumia dakika 948 ana pasi nne za mwisho na bao moja alililowafunga Polisi Tanzania, Uwanja wa Taifa.








Ushabiki wake wa kishamba ndio uliomfikisha Apo
ReplyDeleteAkikua ataacha!!
ReplyDeleteAlionekana kuwa star baada ya kukuta wachezaji vimeo. Ushahidi ni kwamba aliitwa Taifa Stars alifanya nini?Ajibu ni mchezaji mzuri lakini hawezi kushindana anaweza ufalme wa kucheza bila juhudi.
ReplyDeleteAlicheza kwenye timu mbovu tatizo
ReplyDeleteHata kama angebaki hapo yanga tena kwa mtazamo nilio nso kwasasa angekua hapati namba kabisa,tatizo la Ajibu hana juhudi zakujituma kama wachezaji wengine,na hata kipindi anacheza yanga alionekana kwasababu yanga ilikua mbovu sasa ulitegemea nini hapo?acheni uchochezi waandishi uchwara kubali uhalisia usije ukakaa kujidanganya kwamba simba ni sawa na yanga hata siku moja simba ni timu ambayo ina wachezaji wanaojituma sana na wenye viwango vya juu,tunashuhudia mara kibao kikosi cha taifa kinajazwa na wachezaji wa simba kuna mechi moja taifa stars wachezaji 7 wote walitokea simba na tulishinda acheni kujitoa ufahamu basi kwani hao akina ajibu walikua wapi?mbona hawakuitwa timu ya taifa?tatizo kujituma na hapo ndipo utakapo gundua yanga ilikua mbovu sana na haikua na mbadala hivyo ajibu lazima angetumika tu.acheni kutoa mapovu kama mliokunywa maji ya betri.
ReplyDeleteAcheni kelele waandishi mna access ya kuonana na ajibu kampeni ushauri aongeze bidii. Simba kuna wachezaji wengi wazuri ndio maana hata Niyonzima alichemka lakini amerudi yanga ni mfalme pale tena kwa sasa. Ushindani wa namba simba ni mkubwa kuliko timu yoyote VPL. Mpeni ajibu ushauri hili nililiona tangu usajili wake wa kurud simba
ReplyDeletemchezaji wa sub pale Simba akienda yanga ni First eleven. Mtu kama Sharaf Shiboob hata ajib arudi kwao, Benno au kahata hawa wote ni sub pale simba ila ndio maana halisi ya super sub.
ReplyDelete