April 6, 2020


KLABU ya Bayern Munich imetoa ofa kwa kipa wake Manuel Neuer kumpa mkataba mpya  mpaka 2023, lakini yeye anataka mpaka 2025.

Ripoti kutoka nchini Ujerumani zimedai kuwa ofa ambayo imetolewa na  klabu ya Bayern kipa ameonekana kuwa anataka muda zaidi kuwepo ndani ya klabu hiyo.

Imeelezwa kuwa kipa huyo anataka kuwa hapo muda mrefu wakati Bayern tayari walimsajili Alexander Nubel ambaye kwa maana hiyo ataendelea kusugua benchi.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic