MZAWA Reliants
Lusajo mshambuliaji huyu wa Namungo kichwani ana Shahada ya Manunuzi na
Ugavi.
Ni nahodha
wa Namungo na amehusika kwenye jumla ya mabao 14 ndani ya Namungo kati ya 34
yaliyofungwa amefunga 11 akitoa pasi tatu za mabao baada ya kucheza mechi 28
ikiwa nafasi ya nne na pointi 50.
Nyota huyu amesema kuwa bado ana mpango wa kuongeza elimu ili afkie malengo ambayo amejiwekea.
"Ninapenda kufikia malengo ambayo nimejiwekea na hapa bado nina mpango wa kuongeza ujuzi mwingine ila kwa sasa acha nipumzike kidogo," amesema.







0 COMMENTS:
Post a Comment